Kila anayetaka kuwa mgombea wa urais/ubunge ajiulize, ataifanyia nini Tanzania?
November 18, 2013 § Leave a comment
Nimenukuu maneno ya Mwalimu – Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu mojawapo ya sifa za msingi za mgombea urais au hata ubunge. Ni ukurasa mmoja tu, soma na utafakari.