Mtoto: kama baba, mama, shangazi na mjomba wote mlikuwa mnakuwa wa kwanza darasani, nani alikuwa wa mwisho?
August 31, 2013 § Leave a comment
Asubuhi Mama anamwambia mtoto:
Mama: mimi nilikuwa wa kwanza darasani
Mtoto: kweli mama?
Jioni baba anaongea na mtoto:
Baba: mimi nilikuwa wa kwanza darasani.
Mtoto: hivi baba nani alikuwa wa mwisho?
Baba: kwa nini unauliza?
Mtoto: mama kaniambia alikuwa wa kwanza, wewe, shangazi na mjomba wote mnasema mlikuwa wa kwanza darasani, wa mwisho alikuwa nani?
Leave a Reply